RATIBA YA CHAKULA: inaokoa muda na inarahisisha kazi ya mapishi

Usiangaike tena kuwaza upike nini? Para ratiba ya chakula kiganjani mwako na kazi ya mapishi itakuwa rahisi; Ratiba ya chakula au mapishi, ni kitendea kazi muhimu kuwa nacho nyumbani kwako, kwani inakusaidia usipoteze muda kukaa na kufikiria nini cha kupika au kula jioni. -Ratiba pia ukiwa nayo itakusaidia kujua vitu vya kununua yani, unapo fanyaContinue reading “RATIBA YA CHAKULA: inaokoa muda na inarahisisha kazi ya mapishi”

Design a site like this with WordPress.com
Get started