Watermelon smoothieππΉ; nimeweka mint tu, kinywaji kizuri kabisa kwa summer hii. Hii smoothie nilitengeneza j2 kwa ajili ya brunch. . πππππππ Nimetumia watermelon nusu, yale makubwa kabisa. Nilikiweka kwenye fridge lipate baridi usiku mzima, ndio asubuhi nikalikata kata vipande vya wastani, nika blend hadi likawa smoothie, nikaweka kwenye glass na kuweka vijani vya mint, BilaContinue reading “WATERMELON SMOOTHIE (smoothie ya tikiti maji)”