Hivi huwa unakuwa na ratiba ya vitafunwa vyako vya chai ya wiki nzima, au ndio yale mambo ya Giza likiingia ndio unaanza kukurupuka asubuhi chai inakuwaje?? . Napenda kuwa na ratiba ya kuniongoza kwenye mapishi, ili organised na kuokoa muda, maana unajipa ha mapema sababu unajua vitu gani ununue na utapika nini. . Ok KaribuniContinue reading “MAANDAZI RECIPE”