Mayai mvurugo, haya nilipika Jana kwa ajili ya breakfast. Nikaweka na kitunguu, hoho na karoti. Ni mazuri sana Kwa chai na fasta kutengeneza, recipe hii hapa; Mahitaji Mayai 6 Hoho 1 ya wastani Karoti 1 ya wastani Kitunguu kimoja kikubwa Chumvi kijiko kimoja cha chai Sun flower oil vijiko 4 vikubwa Jinsi ya kutengeneza BaadaContinue reading “MAYAI MVURUGO”