Chipsi mayai aka TZ pizza🍳🍟, inawezekana mi ni mmoja wa watu wanao jua kupika chipsi mayai ikatoka vizuri kabisa; – imekauka Bila rojorojo ndani – Imekauka vizuri bila kuungua – Yai na chipsi vimeshikana vizuri – Iko kavu haina mafuta mafuta mengi 😃😃 Jamani sifa jipe mwenyewe. . Kitu nacho mshukuru Mungu wanangu wanapenda naContinue reading “CHIPSI MAYAI”