Juice ya ukwaju mix na ubuyu 🍹(tamarind baobab juice) kama hujawahi kunywa mchanganyiko wa juice hii basi uhondo una kupita. Ni juice(mix) tamu sana hasa ukila na nyama choma. . Mahitaji ukwaju nusu kilo ubuyu robo kilo asali vijiko vikubwa 5 maji ya moto lita Jinsi ya kutengeneza Baada ya kutoa vyote kwenye maganda yakeContinue reading “JUICE YA UKWAJU MIX NA UBUYU”