ROSTI LA BAMIA NA BILINGANYA

Rosti la bamia na bilinganya, jamani ndio hizi video yk niliyo post Jana. Hapa zimeshaiva, na kukolea nyanya hatari. 👇🏿 Bamia bilinganya rosti recipe . Bamia robo kilo Bilinganya 1 kubwa Kitunguu 1 wastani Nyanya 8 kubwa (nili saga kwenye blender) Chumvi kijiko 1 kidogo Mafuta ya kupikia (kadiria kutokana na matumizi yako) . JinsiContinue reading “ROSTI LA BAMIA NA BILINGANYA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started