KUKU CHOMA πŸ—

Kuku chomaπŸ—πŸ—; ni wazuri wanafaa kuliwa na ugali, chipsi, ndizi choma, pilau nk. πŸ—πŸ—πŸ—πŸ— Baada ya kuosha mapaja ya Kuku, nikaweka ndimu, kitunguu saumu, tangawizi, na chumvi. Kisha nikaweka kwenye fridge usiku mzima ili viungo vikolee vizuri. Mchana wake ndio nika wachoma kwenye oven. #karibuni πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktkContinue reading “KUKU CHOMA πŸ—”

Design a site like this with WordPress.com
Get started