CHOCOLATE CHIP BISCUITS

Chocolate Chip BiscuitsπŸͺπŸͺπŸͺ, Ni simple kupika wala hazichukui muda mrefu, hizi mara nyingi huwa wanapika wanangu kwa (miaka 11, 8 na 5). Recipe hii hapa, πŸ‘‡πŸΏ Chocolate chip biscuits recipe πŸͺπŸͺπŸͺ πŸ‘‡πŸΏ Mahitaji; -Ngano- robo kilo (250 gram) -Sukari- vijiko 5 vya kulia chakula -Siagi- vijiko 3 vya kulia chakula -Mayai 2 makubwa _baking powderContinue reading “CHOCOLATE CHIP BISCUITS”

Design a site like this with WordPress.com
Get started