Mkate wa ufuta; umeshawahi kula au kuupika??! ni mkate mzuri sana kwa chai, pia ni simple sn kuupika hauna usumbufu. . Mimi napenda kuupika sababu inanisaidia kuweza kubadili vitafunio kwa ajili ya chai. . ☕️🍴🍴 Unaenda vizuri na tea masala, chai ya rangi, kahawa. Na unaweza kuongeza vitu vingine utakavyo penda wakati wa chai. MkateContinue reading “MKATE WA UFUTA RECIPE”