JINSI YA KUTENGENEZA FRENCH TOAST

Hi, leo napenda kushare kitafunwa ambacho huwa napenda kula asubuhi mara kwa mara #frenchtoast . Hizi ni slices Za mkate zilizo chovya kwenye mayai kisha unazikaanga , mi napenda kuzipika sababu ni kitafunwa unachoweza kutengeneza Kwa haraka. Pia nikiwa sijisikii kula kitu kizito kwa lunch au dinnner huwa natengeza hizi #eggfrenchtoast  na inakuwa ndio mlo wangu. Na hiviContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA FRENCH TOAST”

Design a site like this with WordPress.com
Get started