JIFUNZE AINA TATU MUHIMU ZA MDALASINI NA MATUMIZI YAKE

Ngoja niwape dondoo kuhusu mdalasini . Mdalasini, ni kiungo kimojwapo nakitumia mara kwa mara ktk mapishi. Iwe pilau, chai, supu nk. Hapa napenda ni share uzoefu wangu kidogo; Kama unaenda sn kwenye masoko makubwa km kariakoo, utakuta wanauza aina 3 za mdalasini (wanapima kwa kl), kuna wa Morogoro, India na Tanga. Kila aina ni nzuriContinue reading “JIFUNZE AINA TATU MUHIMU ZA MDALASINI NA MATUMIZI YAKE”

Design a site like this with WordPress.com
Get started