Leo napenda kushare recipe ambayo ni simple kuhusu mayai ambayo huwa naweka vitunguu, hoho na karoti. Kutokana na jinsi navyo yapika mi hupenda kuyaita mayai mvurugo. Mayai mvurugo ni mazuri sana kwa chai pia yanafaa kuliwa na kitafunwa chochote kile, na unaweza kula na ugali hata wali , recipe hii hapa; Mahitaji- Mayai 5, HohoContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA MAYAI MVURUGO”