Chapati maji ni kitafunwa kizuri sana na fasta kupika na kinasaidia kukupa fursa ya kubadilisha vitafunwa, sio kula mikate kila siku inachosha. Hapa nashare recipe yangu jinsi ya kupika chapati maji nzuri na tamu. Recipe yangu ya chapati maji hii hapa. Mahitaji –ngano 300gramu,maziwa glass 1 ndogo,mayai 2,sukari kiasi vijiko vikubwa 2,maji glass 2,Mafuta vijikoContinue reading “JINSI YA KUPIKA CHAPATI MAJI”