-Dagaa ni mboga simple na nzuri sana, hasa kula na ugali. Inaingia kwenye top ten, ya mboga nazoi zipenda kula na ugali.Na hapa Leo nashare dondoo chache ila muhimu uweze kuongeza maarifa ktk upishi wa dagaa. 1. Nunua dagaa wenye quality ya juu; hawa huwa na size kubwa, wasafi, wamekauka vizuri, hawana uvundo, hawana mawe/mchangaContinue reading “JINSI YA KUPIKA DAGAA WAZURI NYUMBANI”