β‘οΈ Karibuni maandazi, hapa na share recipe yangu ya maandazi, ambayo itakusaidia uweze kutengeneza maandazi mazuriii kwa urahisi na kuepuka kero ya kutafuta vitafunwa au kula mikate kila siku π. β‘οΈRecipe ya maandazi hii hapa ππΏ.Mahitaji Ngano kilo1, Mafuta lita 1, Sukari 200 gramu, Maji robo lita, Hamira vijiko 4 vidogo. Jinsi ya kutengeneza β‘οΈContinue reading “JINSI YA KUPIKA MAANDAZI”