JINSI YA KUPIKA CHICKEN TENDERS

➡️ Chicken tenders, hizi niliwapikia jana usiku my girls, ni nzuri sana na hasa kwa watoto, usiwanyime wanao uhondo wapikie #chickentenders recipe hii hapa ⤵️Chicken tenders, ni nyama ya kuku isiyo na mifupa, na unatumia nyama ya kidari cha kuku ambayo huwa nyeupe kabisa haina mafuta kama mapaja. Mi nimetumia vidari viwili, baada ya kusafishaContinue reading “JINSI YA KUPIKA CHICKEN TENDERS”

Design a site like this with WordPress.com
Get started