Breadsticks; au viite viji- mkate hii nilitengeneza jana usiku na leo asubuhi ndio imetumika kama kitafunwa cha watoto wakati wa chai. Menu ilikuwa breadsticks + mayai ya kuchemsha + spice tea. Breadsticks ni rahisi sn kutengeneza pia ni tamu. Recipe hii hapa 👇🏿, ☕️🍞 Mahitaji-Ngano robo kl-sukari vijiko vikubwa 5-chumvi kijiko cha chai 1-mafuta vijikoContinue reading “JINSI YA KUPIKA VIJIMKATE (BREADSTICK)”