Mboga au kitoweo, hasa chenye asili ya protini mfano nyama, samaki na kuku. Kinakuwa na ladha nzuri unapo weka viungo vya chakula, unapo pika iwe kwa kukaanga, kuchemsha au kuchoma. Kazi za viungo kwenye hizi mboga ni; kuongeza ladha, kulainisha nyama, kufanya mboga iwe na rangi ya kuvutia na inukie. Viungo vya chakula mimi nimeviwekaContinue reading “JINSI YA KUWEKA VIUNGO KWENYE [ nyama, samaki na kuku]- UTANGULIZI”