➡️Hello, leo napenda kushare kitu muhimu hasa kuhusu usafi jikoni, usafi wa fridge ⤵️.➡️ Usafi wa fridge ni kitu cha kuzingatia sana nyumbani kwako kwa afya ya familia yako kwani ni sehemu moja wapo unayotunza chakula (kibichi na kilichopikwa) cha familia. Lazima kusafisha fridge lako kila siku kila wiki usafi wa kawaida na kila mweziContinue reading “JINSI YA KUSAFISHA FRRIDGE (JOKOFU)”