JINSI YA KUPIKA CHAI MASALA [tea masala]

Leo napenda kuongelea kitu muhimu na kizuri sana chai masala au tea masala.Wengi najua mnajua tea masala ni nini? Ila Kwa faida, tea masala tunaweza sema ni chai ya maziwa ambayo huwekwa majani ya chai na viungo.☕️ Mimi viungo navyopenda kuweka ni iliki, mchaichai ulio kaushwa, mdalasini naongeza na majani ya chai meusi kisha nawekaContinue reading “JINSI YA KUPIKA CHAI MASALA [tea masala]”

Design a site like this with WordPress.com
Get started