SALAD AFYA, Je unaifahamu?

-Salad AFYA: hii salad ni tamu sana, yani kama una mtoto au hata mtu mzima hapendi mboga za majani, hii salad ndio solution yake.Niliamua kupipa hilo jina, sababu hii salad ina mboga mboga mchanganyiko ambazo zote zina virutubisho muhimu kwa AFYA ya mwili. . Kama unavyo ona kwenye video, nimeweka nyanya, kitunguu, boho, Karoti, limaoContinue reading “SALAD AFYA, Je unaifahamu?”

Design a site like this with WordPress.com
Get started