JINSI YA KUPIKA KUKU WA PILIPILI (#chickenpilipili)

➡️Chicken Pilipili; huyu ni kuku wa kukaanga aliye tiwa pilipili na viungo vingine. Kama nilivyo sema kwenye post iliyo pita. Leo nita post, recipe ya #chickenpilipili. So ndio hii hapa,➡️Mahitaji, kuku wa kisasa 1(kl 1)-pilipili mwendokasi 3-pilipili mbuzi nyekundu3-pilipili manga kjk 1 kikubwa-binzari nyembamba1 kjk kikubwa-kitunguu saumu 1,(toa maganda)-tangawizi ya wastani (imenye)-limao nusu-chumvi kjk kdgContinue reading “JINSI YA KUPIKA KUKU WA PILIPILI (#chickenpilipili)”

Design a site like this with WordPress.com
Get started