Homemade pizza Ni rahisi kutengeneza, kwanza niitengeneza Ile (base) tuite chapati ya pizza, nimekanda ngano nikaweka hamira kidogo tu kwenye maji na kutia mafuta kwenye unga wakati nakanda, Kisha nikanda na kutengeneza chapati ya pizza Kisha nikaiweka pembeni. ⚡️ Nika chukua Kipande kidogo cha nyama na kuki kata kata ktk vipande vidogo vidogo kisha nikaContinue reading “Homemade pizza”