Mishikaki huwa naipenda sn na nyama choma kwa ujumla sijui nyie wenzangu? Iwe Kuku, mbuzi, mbuzi katoliki, ngo’mbe nk ππΆπ’π€π΄πΊ Hiyo hapo juu ni mishikaki ya Kuku nilimchoma jana usiku, nilitumia nyama ile ya kidari cha Kuku. . π½πΉ Mishikaki nikianza kuiandaa asubuhi, baada ya kuosha nyama, nikakata vipande vya wastani nikaweka chumvi, limao, tangawizi,Continue reading “Mishikaki ya kuku-“