JINSI YA KUTENGENEZA CORN DOGS

Corn dog ni nini?? Ni kitafunwa, ambacho ni sausage iliyo wekwa kwenye kijiti na kuchovya kwenye mchanganyiko wa (ngano, Corn flour, mayai, maxiwa na viungo) halafu ika kaangwa kwenye mafuta. My girls wanapenda sana, hizi corn dogs hivyo huwa naandaa home mara kwa mara . Ni kitafunwa kizuri sana na kinafaa kwa kinywaji baridi auContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA CORN DOGS”

Design a site like this with WordPress.com
Get started