Nyama ya ngo’mbe ya kukaanga na mafuta kidogo (shallow fried beef)

➡️Nyama ya ng’ombe: Hii imewekwa viungo vikakolea vizuri na kukaangwa ktk mafuta machache. Imetoka laini na ladha yk ni nzuri sana.-Kama hupendi nyama yenye mchuzi pia hupendi iliyo kaangwa kwenye mafuta (deep fry) basi hii ndio sahihi kwako. Soma recipe mwanzo mwisho🥰 ➡️Baada ya kuosha nyama, nika katakata vipande vidogo kisha nikaweka kwenywe grill pan(ambayoContinue reading “Nyama ya ngo’mbe ya kukaanga na mafuta kidogo (shallow fried beef)”

Design a site like this with WordPress.com
Get started