Kitchen tip: dondoo kuhusu glass, Inapendeza kuweka maji au vinywaji katika glass nzuri, safi na za kuvutia kwa ajili ya familia yako, wageni au zile siku maalum sherehe, sikukuu nk. Hapa kuna vitu vichache vya kuzingatia; 1. Ni vizuri kuwa na glass za kutosha kutumia watu wote pale inapohitajika, walau kuwa na seti 2 zaContinue reading “VYOMBO: MAMBO SITA YA KUFAHAMU KUHUSU GLASS”