JINSI YA KUTENGENEZA CHICKEN MASALA- recipe by Malkia wa Jiko

Leo napenda kuwapa kitu kizuri sana, hasa mnaopenda kupika kwa kutumia viungo, kama. Mimi #spicelovers.Hapa nashare jinsi ya kuandaa #chickenmasala. Hii masala Mimi huwa naandaa mwenyewe nyumbani, wala sio ngumu.Huwa namtumia viungo hivi nane;-tangawizi ya unga-Vitunguu saumu vya unga (vilivyo kaushwa na kusagwa tyr)-binzari manjano-iliki-mdalasini-giligilani (mbegu)-karafuu-binzari nyembamba.Hivi viungo nane hapo juu, unaweza tengeneza chicken masalaContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA CHICKEN MASALA- recipe by Malkia wa Jiko”

Design a site like this with WordPress.com
Get started