JINSI YA KUPIKA DAGAA WAZURI NYUMBANI

β€Ž-Dagaa ni mboga simple na nzuri sana, hasa kula na ugali. Inaingia kwenye top ten, ya mboga nazoi zipenda kula na ugali.β€ŽNa hapa Leo nashare dondoo chache ila muhimu uweze kuongeza maarifa ktk upishi wa dagaa. 1. Nunua dagaa wenye quality ya juu;Β  hawa huwa na size kubwa, wasafi, wamekauka vizuri, hawana uvundo, hawana mawe/mchangaContinue reading “JINSI YA KUPIKA DAGAA WAZURI NYUMBANI”

Design a site like this with WordPress.com
Get started