JINSI YA KUANDAA MISHIKAKI YA NGO’MBE [ ORANGE RED MISHIKAKI]
️Mishikaki ya Ngo’mbe (orange red mishikaki ): hii niliandaa kwa ajili ya kusherekea mwaka mpya. Ilikuwa mitamu sana, viungo vilikolea vizuri na nilimetumia steak, ambayo haikuwa na mafuta mengi. ➡️Nilitumia orange red powder kwa ajili ya kuipa mishikaki hiyo rangi mnayo iona, pia viungo niliweka vichache tu tangawizi, kitunguuu saumu na limao. . ➡️Baada ya … Continue reading JINSI YA KUANDAA MISHIKAKI YA NGO’MBE [ ORANGE RED MISHIKAKI]
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed