
➡️Hope mko poa, leo napenda kushare recipe ya wali wa nazi.
Mahitaji
Mchele kikombe kl
Tui zito kikombe vikombe 2
Tui jepesi kikombe lt 1
Chumvi kijiko cha chaib1
Punje 10 za kitunguu saumu (zisage) na mafuta vijiko 2 vikubwa.

🍚 Jinsi ya kupika 👇🏿
nimeosha mchele Kisha nikaweka pembeni uchuje maji. Nikawasha rice cooker, nikatia mafuta, kisha nikasaga vitunguu nikweka kwenye rice cooker, nika viacha Kama dk 1, nikatia tui jepesi, nikaweka na chumvi nikafunika na kuacha hadi tui jepesi lilipo karibia kuchemka nikaweka mchele, ni kamix vizuri na tui nikafunika, na kuacha uchemke hadi tui jepesi rikaribia kukauka, nikaweka tui zito na kugeuza wali, nikaacha iendelee kuiva taratibu hadi wali ulipo iva na kuanza kukauka. Ukawa tyr kuliwa.
Recipe yangu ya wali wa nazi ndio hiyo, like, share na comments .

Dada hongera. Nikiwa mkubwa natamani kuwa kama wewe😂❤
Hongera sana
LikeLiked by 1 person
asante sn dear, zidi kujifunza
LikeLike
nmependa
LikeLike
🙏🏿🙏🏿
LikeLike
Thanks
LikeLike
Hongera sn
LikeLike
🙏🏿🙏🏿
LikeLike
Asante
LikeLiked by 1 person
Wali naz vp
LikeLike
I like it ths fund
LikeLike
Thanks
LikeLike
whaao thanks
LikeLike
You are welcome ❤️
LikeLike