➡️Nyama Choma Nyumbani: Nyama choma huwa tamu sana, na ina raha yake kuandaa mwenyewe nyumbani na kujaumuika pamoja na wale uwapendao. Mle, mnywe na kufurahi pamoja iwe weekend, sikukuu, wakati mnaangalia mechi za mpira nk

.➡️Wengi najua mna tamani kuandaa nyama choma, ila mna kosa uthubutu muanzie wapi. Najua hilo sababu napata DM wengi wanahitaji niwape mwongozo. Bila shaka na wewe ungependa kujua.
➡️ Ndio maana nimeandaa notes na kuelezea Dondoo 5 muhimu kukuwezesha uweze kuandaa na kuchoma nyama nyumbani kwako na ikatoka nzuri watu waka furahia.
.➡️Dondoo hizi zina maelezo mazuri mafupi na yakueleweka kwa hiyo huta boreka kusoma, bali utapata uthubutu wa kuzifanyia kazi
.➡️utaelewa kuhusu, uchaguzi wa nyama, aina za nyama za kununua, jinsi ya kuchoma, marination (jinsi ya kuweka viungo ktk nyama) na vyakula vya kuambatana na nyama choma.
➡️Dondoo hizi zipo ktk soft copy, (pdf na mfumo wa picha), utazipata kwa tsh 1500, whatsap 0752 741 831.