KUKU CHOMA πŸ—

Kuku chomaπŸ—πŸ—; ni wazuri wanafaa kuliwa na ugali, chipsi, ndizi choma, pilau nk.

πŸ—πŸ—πŸ—πŸ—
Baada ya kuosha mapaja ya Kuku, nikaweka ndimu, kitunguu saumu, tangawizi, na chumvi. Kisha nikaweka kwenye fridge usiku mzima ili viungo vikolee vizuri. Mchana wake ndio nika wachoma kwenye oven.
#karibuni
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
.
πŸ‘‡πŸΏ

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

#chickenleg #chickenbarbeque #lemonchicken #nyamachoma
#malkiawajiko #swahilifood #tanzanianfood #mapishi #chakula #lunchtimeπŸ˜‹ #malkiawajiko #jifunzemapishi #jikoni #homecookfood #simplecooking #quickandeasyfood #bonnapetit #simplelunch #cookingtimeπŸ”ͺ #barbequechicken #kukuchoma

Published by eunicemahundi

HiπŸ™‹πŸΎ, Naitwa Eunice Mahundi, ni #foodblogger na napenda sana mapishi, wengi mna nifahamu kama Mjasiriamali Ila food blogging ni kitu kingine nacho kipenda sana. 🍲🍝🍹🍷🍚🍽 Mapishi Yangu huwa ni simple, Ila yanavutia na mengi ni swahili cuisine, pia huwa napost dondoo za jikoni kama; -Usafi -vyombo -ratiba ya chakula/mapishi -nk Karibu sana na ione malkia wa jiko blog kama nyumbani kwako, ujifunze mengi. Ukiwa na maswali, maoni au chochote kile wasaliana nami: πŸ“§ eunicemahundi@yahoo.com Whatsapp : 0752 741 831or 0657 234 897

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started