Bado una hangaika kuwaza upike nini?? Hadi kichwa kinauma, hujui breakfast iweje, lunch au dinner????
Huna haja ya kusumbuka tena, Malkia wa Jiko nimekuandalia ratiba ya chakula/mapishi unayo pata kiganjani mwako. Maana ratiba ni kitendea kazi muhimu sana kuwa nayo ili kazi ya mapishi iwe rahisi na usipoteze muda.
Ratiba ni ya mwezi mzima, milo yote mitatu na utaipata fasta kwa tsh 10,000 iko katika soft copy, whatsap 0752 741 831.
Hi🙋🏾,
Naitwa Eunice Mahundi, ni #foodblogger na napenda sana mapishi, wengi mna nifahamu kama Mjasiriamali Ila food blogging ni kitu kingine nacho kipenda sana.
🍲🍝🍹🍷🍚🍽
Mapishi Yangu huwa ni simple, Ila yanavutia na mengi ni swahili cuisine, pia huwa napost dondoo za jikoni kama;
-Usafi
-vyombo
-ratiba ya chakula/mapishi
-nk
Karibu sana na ione malkia wa jiko blog kama nyumbani kwako, ujifunze mengi.
Ukiwa na maswali, maoni au chochote kile wasaliana nami:
📧 eunicemahundi@yahoo.com
Whatsapp : 0752 741 831or 0657 234 897
View more posts
Waoo Mungu akuongezee miaka yako unatusaidia sana
LikeLike
amina dear, nashukuru sn
LikeLike