Chocolate Chip Biscuitsπͺπͺπͺ,
Ni simple kupika wala hazichukui muda mrefu, hizi mara nyingi huwa wanapika wanangu kwa (miaka 11, 8 na 5).
Recipe hii hapa, ππΏ
Chocolate chip biscuits recipe

πͺπͺπͺ
ππΏ
Mahitaji;
-Ngano- robo kilo (250 gram)
-Sukari- vijiko 5 vya kulia chakula
-Siagi- vijiko 3 vya kulia chakula
-Mayai 2 makubwa
_baking powder kijiko 1 kikubwa
-chocolate chips kiasi kidogo tu
Note: ukitaka ziwe laini unaweza ongeza maziwa kidogo tu, hizi ni ngumu kiasi.
.
ππΏ Vifaa utakavyotumia;
-Rolling pin(ya kusukumia chapati)
-Mwiko
-Kibao cha kusukumia chapati / au kukatia vitu jikoni
– Biscuits cutter/ au unaweza kukatia na kisu
-Bakuli kubwa (Mixing bowl).

ππΏππΏ Jinsi ya kutengeneza
1-Weka sukari kwenye bakuli πͺ
2- Halafu weka Siagi, kisha changanya Siagi na sukari kwa kutumia mwiko mpaka vichanganyike
Weka mayai na endelea kuchanganya na mwiko, Kisha weka ngano, chocolate chips changanya vizuri kisha ukande kidogo taratibu kama dk 2.
πͺ
3 – Ukimaliza kukanda unga , gawanya Vitoke viduara vitatu, chukua kiduara kimoja kimoja weka katika kibao chako sukuma ( kama chapati) kisha chukua biscuits cutter kata maumbo unayo taka πͺ
4 – baada ya kukata weka biscuits kwenye baking tray na mwagia kisha ziweke pembeni, wakati ukisubiri oven ipate moto. πͺ
5 – Washa oven yako, moto 150C/390F subiri zipite dakika tano, kisha weka biscuits. .
πͺπͺπͺ

Ziache ndani ya oven dakika kama 15, au kama unataka zikauke zaidi ziache dakika ishirini.
Baada ya hapo biscuits zitakuwa tayari, zitoe nje ya oven na ziache kidogo zipoe, baada ya hapo zitakuwa tayari kuliwa.
ππΏππΏ
Mengineyo;
πͺπͺπͺπͺ
Simple biscuits hizi unaweza kunywea chai, kahawa ,maziwa au hata juisi na vinywaji vingine utakavyopenda.

……..
ππΏππΏ
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
.
ππΏ
Follow @timumafanikio @madada3boutique @malkiawajiko .
.
.
.
.
. .
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
#biscuitsπͺ #chocolatechipcookie #chocolatebiscuit #summerbaking #homebakes #bakingathome #biscuitlove #bakingtimeπ° #biscuitsandtea #malkiawajiko #mapishi #jifunzemapishi #tanzanianfood #jikoni #instapreneurπΉπΏ #lifeofafoodblogger