SUPU YA KUKU

Supu ya kuku wa kienyeji 🍲;huwa ni nzuri sana, naipenda hatari. Hii niliipika siku za nyuma, huwa napenda kuipika weekend sababu na kuwa na muda wa kutosha. .
🍡
Kama unavyo jua Kuku wa kienyeji nyama yk iko konki hasa, hivyo inabidi kuipika kwa nafasi na taratibu. Baada ya kumwosha kuku nikimkata kata vipande vya wastani, nikamweka ktk sufuria kubwa, nikatia chumvi kijiko 1 kidogo, limao kubwa 1, tangawizi na kitunguu saumu kisha nikaweka maji lita 2. .
🍲


Nikabandika jikoni, ikachemka hadi maji yalipo isha nikaongeza tena lita 1 ya maji, nikaacha ichemke Kwa dk kadhaa, nikaweka karoti na majani ya vitunguu nikaacha vichemke tena kidogo, Kisha nikazima jiko supu ikawa tayari kwenda mezani. Pilipili niliweka wakati wa kula sikuweza kuweka moja kwa moja sababu ya Watoto.
.
🍲
Supu ya Kuku wa kienyeji mi hupend kula na chapati, ndizi mzuzu choma, viazi mbatata vya kuoka au mkate.#karibuni
. .πŸ‘‰πŸΏfollow @malkiawajiko @timumafanikio @madada3boutique .
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
. .
.
.
.
.
.
.

#chapati #supu #homemadechickensoup #supuyakuku

#pouletfermier #freerangechicken #kukukienyeji
homecookingfood #simplerecipe #quickandeasyfood #africanfoods #africanfoodyummy #sweethome🏑 #africancooking # #foodfamily
.
. #tanzanianfood #foodbloggerlife #swahilifood #mapishi #jikoni #malkiawajiko #jifunzemapishi #jiko #meatrecipes #chickenrecipes #tastychicken #brunchparis #brunchathome #sundaybrunchday

Published by eunicemahundi

HiπŸ™‹πŸΎ, Naitwa Eunice Mahundi, ni #foodblogger na napenda sana mapishi, wengi mna nifahamu kama Mjasiriamali Ila food blogging ni kitu kingine nacho kipenda sana. 🍲🍝🍹🍷🍚🍽 Mapishi Yangu huwa ni simple, Ila yanavutia na mengi ni swahili cuisine, pia huwa napost dondoo za jikoni kama; -Usafi -vyombo -ratiba ya chakula/mapishi -nk Karibu sana na ione malkia wa jiko blog kama nyumbani kwako, ujifunze mengi. Ukiwa na maswali, maoni au chochote kile wasaliana nami: πŸ“§ eunicemahundi@yahoo.com Whatsapp : 0752 741 831or 0657 234 897

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started