Watermelon smoothieππΉ; nimeweka mint tu, kinywaji kizuri kabisa kwa summer hii. Hii smoothie nilitengeneza j2 kwa ajili ya brunch.
.
πππππππ Nimetumia watermelon nusu, yale makubwa kabisa. Nilikiweka kwenye fridge lipate baridi usiku mzima, ndio asubuhi nikalikata kata vipande vya wastani, nika blend hadi likawa smoothie, nikaweka kwenye glass na kuweka vijani vya mint, Bila kuongeza kitu kingine chochote kile. Ilikuwa very deliciousπΒ

#tikitimaji #watermelon #smoothies
Published by eunicemahundi
HiππΎ,
Naitwa Eunice Mahundi, ni #foodblogger na napenda sana mapishi, wengi mna nifahamu kama Mjasiriamali Ila food blogging ni kitu kingine nacho kipenda sana.
π²ππΉπ·ππ½
Mapishi Yangu huwa ni simple, Ila yanavutia na mengi ni swahili cuisine, pia huwa napost dondoo za jikoni kama;
-Usafi
-vyombo
-ratiba ya chakula/mapishi
-nk
Karibu sana na ione malkia wa jiko blog kama nyumbani kwako, ujifunze mengi.
Ukiwa na maswali, maoni au chochote kile wasaliana nami:
π§ eunicemahundi@yahoo.com
Whatsapp : 0752 741 831or 0657 234 897
View more posts