Kitchen tip๐ค: Ok, leo ngoja niwape dondoo moja, kuhusu sponge za jikoni tunazo tumia kuoshea vyombo. Sponge zinatakiwa zitunzwe ktk mazingira mazuri ili zisibebe bacteria ambao wanaweza kuhatarisha afya zetu.
๐๐ฟ๐๐ฟ

- sponge baada ya kuitumia, ioshe ikamue ichuje maji na ianike juani au weka mahali pakavu ikauke kabla ya kuitumia tena.โ
- usihifadhi sponge chini ya sink hasa ikiwa mbichi itavunda na kutoa harufu, na kukaribisha bacteria.โ
- loweka sponge kwenye vinegar tia na chumvi kidogo, walau kila baada ya siku moja kama saa nzima, Kisha ianike ikauke itasaidia kuondoa bacteria. โ
- tumia sponge kwa wiki mbili baada ya hapo itupe na utumie sponge mpya.โ
๐๐
Zingatia hilo kulinda afya yako na familia yako.
.Follow๐๐ฟ @