Homemade pizza

Homemade pizza
Ni rahisi kutengeneza, kwanza niitengeneza Ile (base) tuite chapati ya pizza, nimekanda ngano nikaweka hamira kidogo tu kwenye maji na kutia mafuta kwenye unga wakati nakanda, Kisha nikanda na kutengeneza chapati ya pizza Kisha nikaiweka pembeni. ⚡️
Nika chukua Kipande kidogo cha nyama na kuki kata kata ktk vipande vidogo vidogo kisha nika viweka kwenye frying pan na mafuta kidogo sn havikuiva kabisa.
Halafu nikaweka kwenye chapati ya pizza tomato paste kiasi, Kisha nikaweka nyama, na hoho na karoti, Kisha nikaoka kwenye oven (450F) km dk 15. #karibu

pizzahomemade🍕 #simplepizza #pizzarecipe #quickrecipe #jikoni simplerecipe #mapishi #karibuni #malkiawajiko #easyhealthyrecipes #homemadesnack #homecookfood #tastypizza #snackfood

Published by eunicemahundi

Hi🙋🏾, Naitwa Eunice Mahundi, ni #foodblogger na napenda sana mapishi, wengi mna nifahamu kama Mjasiriamali Ila food blogging ni kitu kingine nacho kipenda sana. 🍲🍝🍹🍷🍚🍽 Mapishi Yangu huwa ni simple, Ila yanavutia na mengi ni swahili cuisine, pia huwa napost dondoo za jikoni kama; -Usafi -vyombo -ratiba ya chakula/mapishi -nk Karibu sana na ione malkia wa jiko blog kama nyumbani kwako, ujifunze mengi. Ukiwa na maswali, maoni au chochote kile wasaliana nami: 📧 eunicemahundi@yahoo.com Whatsapp : 0752 741 831or 0657 234 897

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started